Je, ni namna gani unaweza kujisajili na SportPesa?
-
Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:
Hatua ya 1
Kujisajili kwa njia ya sms tuma "Mchezo" kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa.
Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma "KUBALI" kwenda 15888 kukamilisha usajli.
Hatua 2
Baada ya kutuma "Kubali" kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.
Mfano
- SMS ya Kwanza: KARIBU SPORTPESA. Jina la mtumiaji ni XXXXXXXX. Namba yako ya siri ni YYYY. Pata MICHEZO MAARUFU kwenye www.sportpesa.co.tz au andika MPIRA WA MIGUU kwenda 15888. SMS inagharibu 2/-
- SMS ya pili: Tabiri na ushinde kwa hatua 2 rahisi. WEKA PESA kupitia Paybill 150888, Andika utabiri wako (GameID#Chaguo lako#Kiasi cha kubet) kwenda 15888. SMS inagharimu 2 TZS. Msaada saa 24:Piga 0764115588 / 0685115588 / 0692115588