Vodacom, kwa kushirikiana na TPB Bank katika kutambua mahitaji ya wateja wake imewaletea huduma mpya na ya kipekee kabisa ambayo kazi yake ni kukusaidia pale salio lako la M-Pesa linapokuwa halitoshi kukuwezesha kukamilisha miamala yako ya M-Pesa. Huduma hii inaitwa Songesha. Songesha ni huduma inayokuwezesha kumalizia miamala yako bila kukwama endapo salio lako la M-Pesa ni pungufu.
Mambo muhimu unayopaswa kufahamu kuhusu ofa hii mpya ya Vodacom kuanzia Jinsi ya Kujiunga na Songesha, Kukamilisha muamala wa Songesha, Kiwango Cha Matumizi, Vigezo na Masharti, Viwango vya Songesha
Songesha na M-Pesa
Ukiwa na Songesha utaweza kukamilisha miamala ya kutuma pesa, kulipia huduma na bidhaa kwa makampuni pamoja na kukamilisha miamala ya kulipa kwa M-Pesa kwa wafanyabiashara wanaopokea malipo kwa M-Pesa kutoka kila kona ya Tanzania..........READ MORE